Aibu sanaKenya yasaini makubaliano na afrika kusini kufundisha kiswahili
Ni chini ya masaa mawili mkuu ndio hamna hicho kipimo!Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI kinachotoa majibu ndani ya masaa mawili maana yake ni kwamba huwa tunadanganywa kuwa tuna UTI ?
Mkuu Tz ukisema usubiri culture wagonjwa wengi wangekuwa wanakufa kisa UTI maana hosptali nyingi za mikoa hazina culture achilia mbali za wilaya ambazo ni majanga...Hospital nyingi ukweli ni kwamba huwa wanadanganya watu!
majibu ya UTI hutoka Masaa 48 baada ya vipimo kitaalamu tunaita CULTURE yani lazima mkojo uoteshwe ili kujua ni Kwa kiasi kipi ugonjwa unakuwa,baada ya hapo daktari atajua atumie dawa ipi upone kabsa
Jamani nimesitushwa na habar za ma gazeti juu ya ugojwa wa UTI
always tunapima ugojwa huu kila mara na ndani ya saa ushapata majibu
Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI kinachotoa majibu ndani ya masaa mawili maana yake ni kwamba huwa tunadanganywa kuwa tuna UTI ?
Msaada wenu naona kama imenivuruga habar hiyo View attachment 1102035
masaa 72 mtu umeshamaliza dozi tayari,, kumbe huna hata ugonjwa wenyewe uliomezea dawa bali una una ugonjwa mwingine kabisa,, hii hatari sana ni Mungu kutulinda tu,,
Mkuu guideline ya TZ hakuna indication ya culture ukisuspect UTI labda kama ni nchi nyingine ambayo kudiadgose uti wanafanya culture..
Bongo ni urinalysis kwa kutumia dip stick na microscope basssi
Sawa mkuu,, lakini tunajaribu kumuamini naibu waziri kwakua nayeye ni daktari wa binadamu pia,,Usiongee kitu bila kufikiri na bila kujua huyo waziri analeta Siasa mwehu sana nimesikiza speech yake ni hovyo hakuna chochote alichoongea kina tija,,,kwanza hii taaluma ukiwa nje y field kwa muda mrefu huwezi kufanya vigu kwa ufanisi kwahiyo atulie.
Ukifanya urinalysis kwa dipstick hata dk 15 haziishi majibu unapata na ukitumia microscope dk 10 humalizi unapata jibu
Sio dk 10...dakika moja tu inatosha...Usiongee kitu bila kufikiri na bila kujua huyo waziri analeta Siasa mwehu sana nimesikiza speech yake ni hovyo hakuna chochote alichoongea kina tija,,,kwanza hii taaluma ukiwa nje y field kwa muda mrefu huwezi kufanya vigu kwa ufanisi kwahiyo atulie.
Ukifanya urinalysis kwa dipstick hata dk 15 haziishi majibu unapata na ukitumia microscope dk 10 humalizi unapata jibu
Kweli Mkuu Waziri kaongea siasa microscope na deep stick. Tisha Karisa kubaini UTI ndani ya dakika 10.Ikitokea resistant ya dawa ndiyo wanafanya culture ili kujua aina ya dawa inayofa. Pia ni hospitali change sana zinazofanya culture katika microbiology departmentUsiongee kitu bila kufikiri na bila kujua huyo waziri analeta Siasa mwehu sana nimesikiza speech yake ni hovyo hakuna chochote alichoongea kina tija,,,kwanza hii taaluma ukiwa nje y field kwa muda mrefu huwezi kufanya vigu kwa ufanisi kwahiyo atulie.
Ukifanya urinalysis kwa dipstick hata dk 15 haziishi majibu unapata na ukitumia microscope dk 10 humalizi unapata jibu
Yeye ni daktari lakini haizui kuleta siasa afu yupo nje ya field kwa miaka mingi....kwa Typhoid yupo sahihi ndo maana hairuhusiwi kupima kwenye dispensary maana wao wanatumia reagent kama vile wanavyofanya blood grouping kitu ambacho hakiruhusiwi.Sawa mkuu,, lakini tunajaribu kumuamini naibu waziri kwakua nayeye ni daktari wa binadamu pia,,
Kweli Mkuu Waziri kaongea siasa microscope na deep stick. Tisha Karisa kubaini UTI ndani ya dakika 10.Ikitokea resistant ya dawa ndiyo wanafanya culture ili kujua aina ya dawa inayofa. Pia ni hospitali change sana zinazofanya culture katika microbiology department
Halafu angetakiwa awaelimishe raia UTI sio ugonjwa wa mchezo sasa akileta siasa watakufa wengi.Sio dk 10...dakika moja tu inatosha...
Sasa eti huyo jamaa anataka watu wafanye culture kisa UTI.. si uchizi huo..
Wagonjwa wakishabikia siasa wataisha... hao wanaosema wao hata kikohozi wanatibiwa regency
Jibu rahisi what is U.T.I then waache siasa màana utapotosha watu ku- centrifuge mkojo Na kuangalia kwenye microscope 72hrs? Akirudia paper LA medicine ( lab) ameshadisco tayariJamani nimesitushwa na habar za ma gazeti juu ya ugojwa wa UTI
always tunapima ugojwa huu kila mara na ndani ya saa ushapata majibu
Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI kinachotoa majibu ndani ya masaa mawili maana yake ni kwamba huwa tunadanganywa kuwa tuna UTI ?
Msaada wenu naona kama imenivuruga habar hiyo View attachment 1102035