Ni kweli Condom ina umiza sometimessafi, tuendelee kuloweka
condom wanasema zinawawasha kvm@n1
ndom mizinguo tu, kwanza mie nikivaa wala sikojoiNi kweli Condom ina umiza sometimes
Hilo tatizo wengi wanalo wengine wakishika condom tuu kitu kina lalandom mizinguo tu, kwanza mie nikivaa wala sikojoi
kabisa, yaani ukivaa tu, Johnson huyo ananywea na game hakuna tenawakishika condom tuu kitu kina lala
kweli kabisa hiyo ila tujitahidi kuvaakabisa, yaani ukivaa tu, Johnson huyo ananywea na game hakuna tena
mimi sivai, kama kakauka, napaka babycare nyingi kwenye kichwa cha mb<><>kweli kabisa hiyo ila tujitahidi kuvaa
Uko Dar?kabisa, yaani ukivaa tu, Johnson huyo ananywea na game hakuna tena
hapana, niko Michewen , ZanzibarUko Dar?
nile vyakula vya aina gani sheikh ili nikivaa ndom isilale ?Alaaa......basi aina ya vyakula...shekheee
Na sio ndio unaanza sugua kama steelwire hahahahamimi sivai, kama kakauka, napaka babycare nyingi kwenye kichwa cha mb<><>
Kwa sababu tunajipima wenyewe hatuja shurutishwa kama una shurutishwa ndio una weza danganya ila kama watu hawakujui na ukajipima mwenyewe huwa hakuna sababu ya kudanganya ,itakua kama kujidanganya mwenyeweJF hakuna mtu aliwahi kusema ukweli kama alipima akakutwa nao. Wote wanasemaga wako fresh, MAMAMA na MABABA, MISHANGAZI na MI-SUGAR DADDY, MABINTI na VIJANA wa HIVYO!
Kazi mnayo sana!... ukweli humuweka mtu huru!
Kama mwezi umepita nilipo pata lile tukio la dharura ikanibidi haraka niwahi kuomba PEP, nikapatiwa ikabidi ni kae zaidi ya mwezi mmoja ili nipime kama hali koje
Jana nikajitoa mhanga nikajipima, majibu yakawa clear yani mstari mmoja, kile kipomo sikukitupa nikawa bado nimekiacha mezani nikatoka nyumbani baada ya kurudi nikakuta mistari mitatu kwakweli nilitaka kuzimia.
Nikaamua kurudia mara mbili sababu nikikuwa na vipimo vitatu, vyote viwili nilivyo rudia mwanzo havikuonesha mistari zaidi ya mmoja lakini baadae vikaonyesha mistari miwili
Nilidhani niko na kujiamini, kweli sikuwa na kujiamini kabisa nilitaka kuzimia kwa hofu kubwa.
Leo nikajitutumua kwenda kule kwenye kituo cha afya ili nikafungue file kufika kule nikawambia kwamba hali sio nzur. Wakasema wanipime, walipo nipima wakanaimbia mbona hakuna nikawaambia bado muda sababu majibu yana kuja baada ya dakika 30
Wakaniambia hivi vipimo vipya, inapaswa usivisome baada ya dakika 20 zaidi ya hapo majibu yana kuja sio, hivyo usihofu. Mpaka dakika hii bado nina tetemeka ninataka kwenda kutoa damu nyingi niangaliwe vizuri zaidi
Ila sio siri nilitumiaga hizi condom za serikali zilinipa vipele na mpka nikaenda hospitali nikapima gono kaswende uti na ukimwi sikua navyo ila doc akashauri bora uache au ununue condom tofaut na hizi zinazoitwa zana. Nilijuta sana na Mungu mkubwa wife alikua kasafiri ila kingenuka sana aseesafi, tuendelee kuloweka
condom wanasema zinawawasha kvm@n1