Kipima joto

Joined
Apr 30, 2013
Posts
33
Reaction score
10
Wabunge wasio elewa hali ya maisha ya wanao wawakilisha je wanastahili kuchaguliwa tena kuwa wabunge? Funguka
 
Wachaguliwe ili iweje? Watu wametumwa bungeni na wananchi maskini ili wakawawakilishe lakini sasa wamejisahau. Wasiridushwe bungeni kwani hawana wanachofanya huko zaidi ya kupiga kelele za ndiyooooooo!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kama umefungiwa wabomu ndio lakini kwa akili inayofikiri kuchagua CCM ni kujitakia matatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…