Kipima Joto: Wananchi na Viongozi wengi hawaelewi ukweli wa nini kinachoendelea migodini

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Hii kauli inatolewa na mzungumzaji live ITV kipimajoto, hapa wamekaa wataalamu wa haya mambo kutoka taasisi zinazojihusisha na madini nchini.

Madini migodi mikubwa uchimbaji umeanza miaka ya 1998 lakini hadi leo 2017 sio tu wananchi Bali hadi viongozi wetu wengi na wawakilishi wa wananchi bado hawana uelewa wa kutosha juu ya uhalisia wa mambo.



Wazungumzaji :
Mtu kutoka TEIT -
Mtu Kutoka Tanzania chamber of Minerals and energy -
 
Back
Top Bottom