Dingswayo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 4,019 Reaction score 2,931 Nov 18, 2011 #1 Swali: Wabunge wametenda haki kwa kuupitisha muswada wa mabadiliko ya katiba leo?92% wamesema hapana7% Ndio1% Hawajui
Swali: Wabunge wametenda haki kwa kuupitisha muswada wa mabadiliko ya katiba leo?92% wamesema hapana7% Ndio1% Hawajui
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 18, 2011 #2 Huo ndiyo ukweli, watu hawataki kupigwa machanga ya macho tena.
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Nov 18, 2011 #3 Hii inaonyesha uelewa wa Watanzania uko juu sana kwa sasa.
M Magombelema Member Joined Oct 11, 2011 Posts 15 Reaction score 4 Nov 18, 2011 #4 CCM watakula jeuri yao, wanadhani watanzania ni walewale wa mwaka 1998
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Nov 18, 2011 #5 Mbna wanasema itv kufungiwa baada ya kupisha mjadala wa katiba ni kweli au uongo..nahtaji kufahamu hilo
Mbna wanasema itv kufungiwa baada ya kupisha mjadala wa katiba ni kweli au uongo..nahtaji kufahamu hilo
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,115 Nov 18, 2011 #6 updates wakuu! Tanesco washagawa giza!
Ubumuntu JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 14,387 Reaction score 10,964 Nov 18, 2011 #7 Mh! Lakini namna ya uulizwaji maswali katika "kipimajoto" ni very questionable katika nyanja ya tafiti. Maswali ya "kipimajoto" uwa ni directive sana; uitwa leading questions ambayo kwenye tafiti upingwa sana.
Mh! Lakini namna ya uulizwaji maswali katika "kipimajoto" ni very questionable katika nyanja ya tafiti. Maswali ya "kipimajoto" uwa ni directive sana; uitwa leading questions ambayo kwenye tafiti upingwa sana.