Israel angekuwa mnyonge kiasi hicho nchi za kiarabu zingekuwa zimesha mvamia na kitwanga lakini Israel ni moto ulao mji wa Gaza umebaki Magofu kila familia ni vilio, sera za Israel hazibadiki hakuna siku ambayo waziri mkuu ataingia halafu asema nataka tuunde mataifa 2 . Tena atakapoingia Beny Gantz ambaye ni mtu wa vita nchi za kiarabu zitajuta, huyo amezaliwa na kukulia Israel tofauti na Netanyahu mtu wa USA.