Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
Nimesikitishwa baadhi ya michango ya wanachama wa Jamii Forums na wanasiasa wanaowaonea huruma wahalifu waliotengeneza Vyeti stationary wakati tuna vijana wengi hawana ajira wakishinda kwenye Mitandao ya Kijamii.
Juhudi za Rais Magufuli kuwaondoa wafanyakazi wenye vyeti vya Kufoji zinaonekana kubezwa ili waende wakawe pensioners tena binafsi nimemlaumu Rais Magufuli kwa suala Moja tuu kutowapeleka wakatumikie Gerezani kwa Muda wa miaka 7.
Mwisho natoa wito kwa wote hizi Kazi zitaanzwa kujazwa hivi karibuni nashauri vijana wenye Mapungufu waongeze Ujuzi.