Kipi kinapaswa kuheshimiwa? CCM au serikali?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
16,166
33,538
Nimekuwa nafuatilia mazungunzo mbalimbali hasa yanayohusu rais Magufuli

Kuna msukumo wa ndani kwamba inabidi abadili jinsi ya utawala ndani ya chama kwanza atakapopewa usukani wa uenyekiti kwamba awatfte watu wa kuwapa nafasi hata kama ni wapinzani wawe ndani ya CCM

Ataletwa mr Bashiru wa Udsm, ataletwa Lowassa pia aendelee kuwa ndani ya CCM, maana ni rahisi sana kuwatisha watu ambao ni wana CCM wakaufyata kuliko wapinzani,

Japo Lowassa ni mwana CCM Ambaye yupo Chadema kwa kazi maalumu, lakin kurudi kwake ndani ya CCM wafuasi wake watatoka njia panda wajue moja kwamba jamaa yuko CCM, hii inawachanganya hata baadhi ya idara wafuasi wa mkulu wataleta shida huko mbeleni,

Juhudi hizo zote ni kuimarisha CCM lakin sioni mikakati ya kuimarisha Serikali au nchi,

Ndo maana tutaendelea kuona watu wanateuliwa lakin sharti waoneshe dhahiri kwamba wanaokubali ilani ya CCM Na wanakubalina na kila anachosema Mwenyekiti,

Inaonekana nguvu kubwa inatumika kuimarisha CCM badala ya kuimarisha serikali na uongozi wake,

Mbaya zaid CCM hii kuna mpango wa kuiweka mikononi kwa mwenyekiti awe ndo kila kitu bila saa nyingine kuuliza wengine, Hiyo ni magu akiwa mwenyekiti

Ila wanazuoni wanaoona mbali wanasema kwamba hii inaweza kumfelisha Magufuli hata uenyekiti pia anaweza asiupate kwa kuwa hulka yake inajulikana, bado debate nzito
 
Hizo ni story za uzushi nani amchukue
Kwanza Lowassa hana sifa tena za kuwa mwana CCM, acheni kujisumbua CHADEMA walibebe zigo lao
 
Back
Top Bottom