je ni ubongo unafikiri kama unaakili? au unafikiri unaubongo wenye akili au unaakili inayokufanya ujue unafikiria unaubongo na nini kilifikiria kikakufanya ufikiri unachofikiria ?
je ni ubongo unafikiri kama unaakili? au unafikiri unaubongo wenye akili au unaakili inayokufanya ujue unafikiria unaubongo na nini kilifikiria kikakufanya ufikiri unachofikiria ?
Huwezi kutenganisha akili na ubongo, vinafanya kazi kwa pamoja na vinategemeana.
Ubongo unavyofanya kazi yale matokeo yake ndio yanaonyesha kiwango cha ufanisi wa cha mtu (Akili).
Watu wawili wanaweza kuwa na kiwango sawa cha umbile la ubongo lakini wakawa na kiwango tofauti cha ufanisi wa utendaji kazi wa bongo zao (Akili)
utafiti kaelezea kwa kifupi na mfano rehisi kabisa wa software na hardware.
Sasa kwa nini ulijaribu kufikiri badala kuamua kufikiri kabisa..hukufikiria kuwa kujaribu kwako kufikiri kunaweza kutufanya tufikiri kuwa hukufikiria hata hicho ulichotaka kujaribu kufikiri...??
Ubongo ni material ambayo ndani yake kuna
1.Akili,
2.Ufahamu,
3.Utambuzi,
4.Maarifa,
5.Ujuzi,
Ukimtoa binadamu wanyama wengine waliobaki wao wana ubongo na utambuzi tu basi.