Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,354
- 8,617
Mapenzi ni nini?
Ukiweza kujibu hili swali mjadala unafungwa.
Mapenzi ni nini?
Ukiweza kujibu hili swali mjadala unafungwa.
Mapenzi ni HISIA za upendo alizonazo mtu juu ya mtu au kitu fulani.Mkuu naomba unisaidie kunipa jibu la hili swali lako kwa upande wangu nimekwama.
usijidanganye kujaribu kumpenda mtu ambaye huna hisia naye maana utakua unajilazimisha mwisho wa siku utamchoka na unaweza kukuta ukakutana na mwanaume mwingine ambaye unaa hisia naye utamuacha huyu wa kwanza na kuwa na mwingine na hapo ndipo wanawake mnapoanza kuonwa watu wa ajabu...mfano jamaa unafake love kwake maana yake hisia huna ila jamaa yeye anajituma kukufurahisha na kukuhudumia kwa kila anacho weza mwisho unakuja kumletea habari nyeusi na kwakitu ambacho ulikijua toka mwanzo ulikijua hapo ndo wengi wenu mnaishia kuuliwa...ushauri wangu ni kwamba kaa tulia wanaume watu wapo utapata unayempenda na ambaye una hisia naye kama huna kitulize hiko kidude kwenye chupi yake....usikurupike...Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?
mapenzi ni hisia kwahiyo kama hakuna hisia hakuna mapenzi...it means yatakushinda na mwisho wa siku utaingia kwenye uadui kwa uzembe wako,Kama mnavyojua Wanawake huwa tunapenda kwa hisia ndivyo tulivyo umbwa, je kipi bora kuwa na Mwanaume ambaye huna hisia naye lakini ana mapenzi ya dhati kwa kifupi anakujali, anakufanya ufurahie uwepo wake n.k. au kuwa na Mwanaume ambaye una hisia naye lakini hakujali?