(a) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu sahihi katika kipindi kisicho sahii mf:shuleni
(b) kuwa na mahusiano kimapenzi na mtu asie sahihi katika kipindi sahihi
zote ni best inategemea uwezo wako wa kucheza na ulicho nacho kwa sababu namba moja anaweza badilika akawa balaa na pia namba mbili waweza kumbadilisha akawa the best.