Huyo ndiyo Kipanya
Sent using
Jamii Forums mobile app
Huyu Ndege (vulture) anasymbolise Mwanasiasa mwenye 2020 yake tayari...
Hao Kobe ni wanasiasa viherehere wasioogopa kuisogelea twenty twenty...wajaribu kusogea wafe kwa kuliwa(kuuawa) na huyo (vulture) Mwenyetwentytwenty.