Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Feb 14, 2020 #1 Leo tena amekuja na picha ambayo kimsingi kwa asiye mtaalam wa habari picha itamuwia ngumu kuielewa. Tafadhali wenye uelewa wa haya mambo mtusaidie sisi kina macho kumchuzi. In God we Trust
Leo tena amekuja na picha ambayo kimsingi kwa asiye mtaalam wa habari picha itamuwia ngumu kuielewa. Tafadhali wenye uelewa wa haya mambo mtusaidie sisi kina macho kumchuzi. In God we Trust
May Day JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 6,367 Reaction score 9,119 Feb 14, 2020 #2 Masudi anataka kuwakera watawala.
Nzuguni one JF-Expert Member Joined Dec 23, 2019 Posts 1,160 Reaction score 488 Feb 14, 2020 #3 Masood kirat bwana
MKANDAHARI JF-Expert Member Joined Apr 7, 2011 Posts 5,760 Reaction score 6,693 Feb 14, 2020 #4 Subiri wale makada watiifu waje hapa uone watakavyoruka na kukanyagana hapa kama maasai wa njiro Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri wale makada watiifu waje hapa uone watakavyoruka na kukanyagana hapa kama maasai wa njiro Sent using Jamii Forums mobile app
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 17,526 Reaction score 25,334 Feb 14, 2020 #5 Ati mtu ana PhD anajisifu law kushinda serikali za mitaa May Day said: Masudi anataka kuwakera watawala. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Ati mtu ana PhD anajisifu law kushinda serikali za mitaa May Day said: Masudi anataka kuwakera watawala. Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 20,141 Reaction score 24,449 Feb 14, 2020 #6 Mmawia said: Leo tena amekuja na picha ambayo kimsingi kwa asiye mtaalam wa habari picha itamuwia ngumu kuielewa. Tafadhali wenye uelewa wa haya mambo mtusaidie sisi kina macho kumchuzi. View attachment 1357503 In God we Trust Click to expand... Kibaka kazi unayo!
Mmawia said: Leo tena amekuja na picha ambayo kimsingi kwa asiye mtaalam wa habari picha itamuwia ngumu kuielewa. Tafadhali wenye uelewa wa haya mambo mtusaidie sisi kina macho kumchuzi. View attachment 1357503 In God we Trust Click to expand... Kibaka kazi unayo!
Nandinii JF-Expert Member Joined Jun 19, 2019 Posts 2,572 Reaction score 2,829 Feb 14, 2020 #7 Ahahaha dah, eti "mmesahau mlichotufanyia kwenye serikali za mitaa". . Daah Masoud hataki mchezo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Feb 14, 2020 Thread starter #8 Umeshapatiwa bundle sasa tusubiri mvua ya mate sasa kipara kipya said: Kibaka kazi unayo!View attachment 1357619 Click to expand... In God we Trust
Umeshapatiwa bundle sasa tusubiri mvua ya mate sasa kipara kipya said: Kibaka kazi unayo!View attachment 1357619 Click to expand... In God we Trust
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,265 Reaction score 98,318 Feb 14, 2020 Thread starter #9 pujo said: Ahahaha dah, eti "mmesahau mlichotufanyia kwenye serikali za mitaa". . Daah Masoud hataki mchezo Click to expand... Mkuu hapo tayari kesha fanya kazi yake kikamilifu kama mwana habari In God we Trust
pujo said: Ahahaha dah, eti "mmesahau mlichotufanyia kwenye serikali za mitaa". . Daah Masoud hataki mchezo Click to expand... Mkuu hapo tayari kesha fanya kazi yake kikamilifu kama mwana habari In God we Trust
kizaizai JF-Expert Member Joined Mar 31, 2010 Posts 6,066 Reaction score 7,556 Feb 14, 2020 #10 Wala hawana haja ya kuhamasisha, tutajiandukisha tu, ila kupiga kura ndio kitendawili tena kigumu kweli kweli.
Wala hawana haja ya kuhamasisha, tutajiandukisha tu, ila kupiga kura ndio kitendawili tena kigumu kweli kweli.