Kipanya na Bureau De Change

Posta yenyewe inakaribia kujifia ,unaipa kazi ya byuro di change hahaha.

Hata mimi huwa nakuelewa sana prezidaa.
 
jamaaa mnaa sana et mi nakuelewa sana hahaha
 
Posta yenyewe inakaribia kujifia ,unaipa kazi ya byuro di change hahaha.

Hata mimi huwa nakuelewa sana prezidaa.
Ndio maana inapigwa jeki
Hapo mlo mpya

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kumbe walijuwa wazee wakutakatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…