Kipanya ana maanisha nini hapa?

Substitution ya tairi - kwamba mawaziri walishindwa kazi na majukumu yao wamebadilishwa ili safari iendelee
 
Hii sasa ni bandua ya mwisho. Tizama hata hiyo nati ni nyembaba kuliko tundu. Aweke nini tena?? Atazungushia hata uzi bora gari itoke porini.
 
Hahahahaaah nati zimechomolewa, zimeondoshwa Ila zilikochomolewa kumeacha majeraha! Iliyobaki imelegea! Jeki haipandishi tairi.....
 
Kwa Lugha ya picha usiweke majibu yako ili kufitisha hamu zako. Hata wewe binafsi inaweza kukuhusu kadiri ya maisha yako
 
Hahah hiyo nati inayoingizwa inaonekena sio ya hiyo tairi..

Maana Hata rangi ni tofauti na zingine
 
baada ya baraza kubadilishwa, je hapa kwenye picha Kipanya ana maanisha kitu gani?
View attachment 604811
Naona nati zote zimelegea hadi matundu yamekuwa mapana.

Anajaribu kubadilisha lakini ngoma droo[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Mwishowe ataamua kujitwisha Lori lake kichwani kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Daahh!! Uliyemsukumizia mungu anakuona.
 
Nilichoona gari ni rangi ya k......
 
hapo kafungua nati nne(4) zilizo chakaa,alafu anafunga nati moja(1) mpya.......hiyo gari sijui kama itafika salama maana nati moja kwenye tairi,ni hatari.
 
Ayaaa!!!bolt nyingine zimekatikia huko,ina maana hata nyingine haziwezi ingia na kufit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…