Kipanya amenifurahisha, big up

Masoud Kipanya kampeni zako kama ulilenga kumpigia JPM bahati mbaya maudhui yanaonyesha mchwa wa zamani ni ENL. Kwanza tunakushukuru kwa kuwa muwazi na pia tunafurahi kuwa JPM anakiri mwenyewe kuwa bora mchwa wa zamani.
 
Mamvi hana njaa na anauchukia umaskini kwa dhati, watz wengi tumeshaamua kumpa nchi.
 
Masoud Kipanya kampeni zako kama ulilenga kumpigia JPM bahati mbaya maudhui yanaonyesha mchwa wa zamani ni ENL. Kwanza tunakushukuru kwa kuwa muwazi na pia tunafurahi kuwa JPM anakiri mwenyewe kuwa bora mchwa wa zamani.

Unajipa matumaini
 
hata waje kupiga kampeni nyumbani kwa miezi miwili mi na mamvi tu
 
hata waje kupiga kampeni nyumbani kwa miezi miwili mi na mamvi tu

watu wa kaskazn hamtashka ngaz ya urais hata cku mmja.kama unadhan urais ni majivuno then kaa chn ufkir familia yako.mtabak kuwa wenyeviti,
 
Makomeo ana bonge la cha kutunzia nywele za madume, mweeeeeeee,,
 
Hata unipe hadaa ya mabira mia moja
Nishaamua kura yangu kwa EDO

KURA OYEEEEEEE
OCTOBER 25.OYEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…