Kipande kidogo tu cha Dar to Moro cha SGR kimeshindikana kumalizika sasa SGR itafika Mwanza kweli?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,401
15,980
Tuliambiwa mwezi huu wa nane tutatembeleaa reli yetu mpya ila mpk Sasa hkn kinachoendeleaa

Hapa dodoma yapi wamewarudisha wafanyakazi wao makwao kwa kile kilichoelezwa kuwa kukosekana kwa malipo Yao

Kama kipande hiki kifupi tu kimemtoaa jasho huyu mtu ataweza nn au kuteua tu ndio anaweza
kazi nyingine anachoweza Ni kubambika watu kesi za uahani na ugaid

Nimechoka nataka kwenda kuwa raia wa bukinabe kwa Muda Hadi utawala huu uishe
 
Ohoo..
Hivi hakijaisha...
 
Amekuwa msanii anasubir muongee ndo aingie mzigoni muwe kama chawa wake mnafuatilia hatua kwa hatua , ndo matokeo ya elimu ya viboko
 
Back
Top Bottom