dos santos
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 256
- 128
Kipa hana kosa, mabeki walikuwa wapi wasimzuie ngasa? washambuliaji wamepoteza nafasi nyingi hao wamechukuliwa hatua gani? Kimsingi timu nzima ya mbeya city ni mbovu .
ndio tayari ashatolewa...Wasimfanye mbuzi wa kafara...
lile kosa sio la beki ni kosa la kipa....maana karudishiwa mpira wakati sahihi na pia aliweza hadi kuucontrol kwa sekunde kadhaa akiwa peke yake , lakin akafany delaying ya ajabu hadi ngasa anamfikia akaamua ampige chenga na hvy kusababisha madharaKipa hana kosa, mabeki walikuwa wapi wasimzuie ngasa? washambuliaji wamepoteza nafasi nyingi hao wamechukuliwa hatua gani? Kimsingi timu nzima ya mbeya city ni mbovu .
niongezee tu kwamba ufuatiliaji huo mwisho wake utathibitisha ama kukanusha tuhuma hizo. Maana yake ni kwamba mchezaji atakuwa ameikosea timu ( na mchezo mzima wa kabumbu) kwa kuihujumu, au timu itakuwa imemkosea mchezaji (na mchezo mzima wa kabumbu) kwa kumzulia na kumchafulia jina. Adhabu isije ikachagua upande wa kuhukumu, yeyote kati ya wawili hawa achukuliwe hatua kali atapobinika. Tuhuma za aina hii zimeshakuwa nyingi kutoka kwa viongozi wa timu. Lakini zinaposhindwa kuthibitishwa huku wachezaji watuhumiwa wakiwa wameshadhalilishwa, huishia kurudishwa kundini kinyemela. Nao kwa unyonge na kutojitambua kwao huona ndiyo yamekwisha. Unakumbuka ya akina Aggrey waliotuhumiwa kuhongwa? Yameishaje?Kitendo Cha Mbeya City kumfungia kipa wake ni kuidhalilisha sana TIMU Yangu Ya Yanga Afrika,,,
# CAF Wanaweza kutufungia kimataifa kama itagundulika mpria wa Tanzania unaruhusu mambo kama hayo, ndugu Jamal Malinzi kuna haja ya kufatilia hizi tuhuma za Mbeya City kwamba kipa wao alipewa mlungula
Hii timu ishaingia kwenye siasa, mchezo wa soka ni wa wazi
hautaki maneno maneno tu. Ajabu mchezaji anasimamishwa kwa dhana
na si ushahidi.Hiyo ni siasa na si mpira wa miguu.
tena anasimamishwa bila ya ushauri wa kifundi kutoka kwa kocha
Eti amekuwa anarudia makosa hayo kila akicheza na timu zenye ushawishi. Ujinga mtupu.
Hii ni staili ya viongozi wa soka tanzania kila timu ikifanya vibaya zigo wanaangushiwa wachezaji.
Viongozi nao wanawajibika kwa timu kufungwa, wasijitoe. Mbeya City haiwezi kulalamika
kufungwa na Yanga, ina uwezo mdogo. Wajiangalie washafungwa mechi ngapi mpaka sasa
ktk ligi. Wamefungwa kihalali na magoli ya wazi kama alivyosema kocha wao Juma mwambusi.
Bado hiyo ni salamu za jangwani
Tena wamtimue kabisa...pumba.vu sana kamzawadia ngasa goli la wazi kabisa...
Kabisaa huoo ujinga aupo yanga!!wamuulizew Kaseja Yanga!!alaah itototunataka sisi!!Tena wamtimue kabisa...pumba.vu sana kamzawadia ngasa goli la wazi kabisa...