Kioo cha Tv Sony bravia kinauzwa

Kioo cha Tv Sony bravia kinauzwa

Amani 2015

Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
82
Reaction score
14
.....Kioo cha Tv Sony Bravia inch 32 kinauzwa bei ni 300,000.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607... Nipo Dar es salaam
 
Mimi nauza tv sony bravia tatzo lake ni kioo tu. Kina ukungu
 
.....Kioo cha Tv Sony Bravia inch 32 kinauzwa bei ni 300,000.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607... Nipo Dar es salaam
Nikuuzie hiyo tv yenyewe kwa 150,000/-, ina tatizo la kioo. Ukishaweka unauza tv nzima, bei yako kwa kioo tu ni kubwa!
 
.....Kioo cha Tv Sony Bravia inch 32 kinauzwa bei ni 300,000.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607... Nipo Dar es salaam
Asee me pia nina tv sony bravia 32 ina shida ya kioo nikuuzie hyo then ufix uuze tv..nichek 0713794962..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom