mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 812
- 396
Natafuta kioo cha sony experia Z ofa yangu na Tsh 100000
naweza kupata kwa kiasi gani!?Sony Xperia ndizo simu bora duniani kwa sasa. Ingawa copy and paste bongos wako busy na Tecno, Samsung. Ila best kupata kioo kwa bei hiyo sijui
Agiza mkuu,, baada ya 1week umepata.
ukiwa na maana niagize kutoka nje!? vp kwa bongo siwezi kupata?
unatafuta KIOO (LCD) ya Xperia Z au unatafuta TOUCH ya Xperia Z maana hivyo ni vitu viwili tofauti...
Sony Xperia ndizo simu bora duniani kwa sasa. Ingawa copy and paste bongos wako busy na Tecno, Samsung. Ila best kupata kioo kwa bei hiyo sijui
Touch ya Xperia Z Mkuu nimesikia inauzwa 35000 Kuna unwell hapo ?unatafuta KIOO (LCD) ya Xperia Z au unatafuta TOUCH ya Xperia Z maana hivyo ni vitu viwili tofauti...