yap wapendwa naomba msaada wa kuunganisha star tv sipate kwenye receiver na wala sijui frequence zake mana wamebadili na jinsi ya kuunganisha mi natumia receiver aina ya strong srt 4620 dish halijachezewa, naomba io procedure