Kioo cha hisense smart 4k 58 inch

Hisense ni bei rahisi ubora rahisi. Ni kama tecno au itel phones

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Akili kisoda.

Huna tofauti na wale wanaosema magari ya Asia na ya Ulaya yana ubora sawa.

Alili kama za kenge, bora ungekaa kimya.
 
Chief-Mkwawa tusaidie ubora wa vioo kwenye TV kama Hisense na TV za makampuni tuliyoyazoea ya Samsung na LG.
 
Vioo tunavyo Huku Zanzibar tuma tu nauli mengine tutazungumza ukishapata mzigo
 
Chief-Mkwawa tusaidie ubora wa vioo kwenye TV kama Hisense na TV za makampuni tuliyoyazoea ya Samsung na LG.
Kioo kinatokana na model na model. Ila kama ni cha kubadilisha na hukipati kwa wakala mwenyewe possibility kubwa kikawa na Quality ndogo kushinda original.
 
Mwenye kioo cha hisence inch 43 4k......au anaeju wanakouza aniunganishe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…