Uelewe kuwa muasisi wa mwenge wa uhuru kuupandisha Kilimanjaro alikuwa ni Lt. Nyirenda wa Kings African Rifles by then(now Jwtz).
'Kukimbiza' kunachukuliwa kuwa ni kazi ya vijana (young officers)
Utaratibu huo ulifuatwa miaka yote, ila kwa sababu ya mambo ya 'ulaji' na 'uchawa', badiliko lolote lawezekana.