Kiongozi Mwenye Fikra Mgando

Kiongozi Mwenye Fikra Mgando

Mogabiri

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
7
Reaction score
0
Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali
 
Uzee unampa tabu sana huyu!!! Mimi niko na Joseph Sinde Warioba....aendelee kuuelimisha uma kuhusu Katiba pendekezwa.
 
samueli 6 hanalolote jipya tunawasubiri waje mtaani nasi tulipize alafu tuone wao watalizika?
Niukweli usiopingika kuwa wananchi walio wengi hawajuwi nini maana ya katiba kwa hiyo lazima waelimishwe ibara hadi ibara kifungu hadi kifungu
 
Bomu wanalolitengenza ccm litalipua Tanzania na kizazi kijacho.
 
Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali
Kweli, Warioba kajitakia mwenyewe! Watu wamekuvumilia sana mpaka wamechoka!
 
samueli 6 hanalolote jipya tunawasubiri waje mtaani nasi tulipize alafu tuone wao watalizika?
Niukweli usiopingika kuwa wananchi walio wengi hawajuwi nini maana ya katiba kwa hiyo lazima waelimishwe ibara hadi ibara kifungu hadi kifungu
Warioba anapandikiza chuki kwa wananchi!
 
Yaani kuichambua hiyo katiba iliyopendekezwa na bunge maalum iwe ni kupandikiza chuki sasa je hiyo elimu ambayo onabidi wananchi wapewe itabidi watumie maneno ya katiba ipi?
 
Chuki dhidi ya nani?
Watu wanahitaji elimu ya katiba si wote ni wanasheria wanaoweza kusoma katiba na kuielewa vizuri, acheni warioba atupe elimu.
Alafu mtulie dawa iwaingie kwanza.
Kwa hiyo yaliyotokea Ubungo Plaza sio chuki ila ni "upendo?"
 
Kila mtu ana uhuru wa kutoa uhuru wa kutoa mawazo yake, whether ni hasi au chanya!

Hapa umenena mkuu hivyo hata Warioba hajajitakia mwenyewe maana na yeye alikuwa anatumia uhuru wake wa kutoa mawazo yake, futa kauli yako kule juu maana kuna comment unaunga mkono fujo alizofanyiwa Warioba
 
Tumeshamsikia akapumzike sasa maana hana jipya! Pia waliofanya fujo ni wana-UKAWA baada ya kushindwa kuvumilia ujumbe ulioandikwa kwenye mabango!
 
Chuki dhidi ya nani?
Watu wanahitaji elimu ya katiba si wote ni wanasheria wanaoweza kusoma katiba na kuielewa vizuri, acheni warioba atupe elimu.
Alafu mtulie dawa iwaingie kwanza.
Kama Warioba angekuwa anaiunga mkono sidhani kama angepigiwa kelele na watawala lakini kwa kuwa yupo against na system wanatumia kila njia kumnyamazisha maana utamaduni wa kuchambua vitu kwa mapana yake huwa hatuna watz na mbinu zinazotumika siku zote ni zile zilizopitwa na wakati (yaani kauli kama tunaondoa umoja wetu, tunapandikiza chuki na vitu vinavyofanana na hivyo, the same hata 1992 wakati vyama vingi vimeruhusiwa kulikuwa kuna kauli kama hizi)
 
Kweli, Warioba kajitakia mwenyewe! Watu wamekuvumilia sana mpaka wamechoka!

Hiyo laana itawatafuna mpaka kaburini,mtawapiga mpaka wazazi wenu kisa wameikataa katiba ya Magamba
 
Back
Top Bottom