Kiongozi bora huchukiwa

Majinzi

Senior Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
147
Reaction score
203
Tunapokuwa mashuleni moja ya vitu ambavyo tunaanza kujifunza ni kushiriki au kufunzwa Uongozi (sio darasani ni kwa vitendo zaidi), mwingne anawezasema huwa hatufunzwi isipokuwa tunashiriki kwa either kuchaguliwa au kuteuliwa kulingana na nafasi ambayo utafiti au ipo wazi


Kama hukuwawahi kuwa kiongozi wa darasa basi uliwahi kuwa kiranja kama si vyote basi kwenye kikundi chenu uliwahi kuongoza jambo au uliwahi ona rika la vijana wenzio wakishiriki kwenye uongozi.


Moja ya sifa ambayo ilikuwa inanikela ni pale mwalimu anapowaasa kuwa kiongozi Mzuri ni lazma ACHUKIWE [emoji848][emoji848][emoji848]

Nadhalia hii nimekuja kuiona hata kwa viongozi wetu wa ngazi ya juu yaani level ya NCHI wakiitumia either wao moja kwa moja au wafuasi wao wakiwasemea


Swali langu je nadhalia hii ya kuchukiwa ni moja ya SIFA YA KIONGOZI BORA AU INA MANTIC YAKE ISIPOKUWA INATUMIKA VIBAYA? [emoji848][emoji848][emoji848]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…