Kinywaji gani au chakula gani ulishawahi kula hotelini ukasema umepoteza hela yako?

Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee

Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa

Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
itakua espresso hiyo
 
Niliwahi kwenda hotel moja Dar nikiwa mwenyewe kwa ajili ya breakfast. Wakati huo nilikuwa sijawahi kula scrambled eggs basi nikaagiza ili nile for the first time yalivyokuja sura yake haikunivutia 😂😂😂😂basi nikamwambia mhudumu niliagiza omelette na siyo scrambled eggs hakuwa na hiana akaenda kubadili huku nikijisikia vibaya na kumuonea huruma. Nilipomaliza kula nilimpa tip nzuri kwa ustaarabu wake.

Siku hizi natengeneza scrambled eggs home kwangu thanks 🙏🏽 to youtube.
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee

Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa

Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
 
Pepsi sh 5000/= tena takeaway, usiniulize ilikuwaje

Nilibishana nao mpaka nilikereka.

Ila nikikumbukaga najiona nlikuwa mshamba flan hivi.
 
Nikifika sehemu menu sielewi huwa tu s
Najimaliza naagiza chipsi mayai, na haijawahi kosewa, na kwenye vinywaji sipendi kuumia bei za soda huwa tu nasema serengeti lite, ikizidi sana inauzwa 4000. Ila ndio niagize soda ije bili 5000 ntakufa sikuhyo
 
Niliwahi kwenda hotel fulani hivi mbugani nikaambiwa wana supu ya kongolo,sikuwa na haja ya kuuliza bei nikaagiza kwato kwa mbwembwe nikiamini hii ndo size yangu,namaliza kula natoa buku jamaa ananiangalia kwa mshangao kumbe linauzwa buku 5,hadi sasa roho inauma.
Pia 1998 ndani MV Victoria natoka bk kuja mza nikapata mrembo,uko na kule akasomeka tukiwa second sitting ikabidi nifanye mchakato wa room kwa ma-TT nikauziwa room kwa 60000 nikaona sio tabu,kizaazaa kikaja kwenye condom nikapambana na ma-TT wakaniuzia condom 3 kwa 9000 aina SULTAN nilijalaumu kwa umalaya ila sikuwa na jinsi ukizingatia mtoto alikuwa mkali halafu alikuwa akichuka tu anapokelewa na ndugu zake halafu jioni anaunga na treni to Dar,hii siwezi sahau nazeeka nayo moyoni

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Dah pole sana.
 
Sinywi chai ya rangi hotelini ,siagizi ugali hotelini full stop
mara nying chai inakua imelala.ugali huwa hauwivi aheri wali kias flan.full stop bora nikale kibanda umiza najua cha leo leo mahotelin most of the time vya kulala.kuna mgahawa posta tulienda yule kuku aliletwa kaoza kabisa wamemchoma na mafuta tuliwashia moto akabadilishwa.penda kula home incase emergency kula hata mahind na matunda
 
Nakumbuka siku nikiwa pale Paradise Bagamoyo niliwakuta wazungu wanakula Kamba koche nilipo uliza bei sikuamini masikio yangu.....ila nikahisi ni msosi mtamu sana...nika-agiza kwa mbwembwe zote....miaka 10 imepita bado nikikumbuka natapika....
wewe utakua wa bara wewe.kamba ni nyama tamu sana saanaa mno
 
Binafsi kuna siku nilikua na mihadi na mshkaji mmoja akadai tukutane pale mlimani city Grano Cofee

Basi tumefika nikapewa menu vitu sikua hata navielewa nikaagiza hyo cofee kikombe kidogi tu asee ilikua chungu haieleweki yani mbaya mno bili ikaja elfu saba dah nikalipa

Sema nilikua naongea dili la biashara ikaenda vizuri so sikujutia sana ingawa naona nilipoteza hela
ungeomba hata msaada abgalau angekuelekeza
hio espressso ni kwa ma expert. kama learner unaagiza angalao capuucino.au latte hio espresso ni vitu vyetu sisi ni sawa sawa na mlev wa spirit umletee kitu lain.
espresso ni kama driving license E .ninkwa makonkod
 
Nilikula king fish pale sea cliff hotel kidogo nitapike..kuletewa bill ni 63,000/= .nkasema haya ngoja tuwaachie watasha wenyewe ndio wanayaweza.
 
Hamna Siku nilicheka dada mmoja mjuaji yeye na wenzie wamekuja hoteln Unajua tena kipindi kama hiki Dec kampuni nyingi hutoka out pamoja kupongezana kwa kazi nzuri ya mwaka mzimA

Wenzie waliniomba niwachagulie vitu watavyoweza kuvibomoa, nikawatupia starter za caramal na chicken wings, main course nikawachagulia piza,t.bone,ranch 🐔 na bakuli la salad, mjuaji bila kujua akajikuta amehangukia Kuna kitu inaitwa papusakia Yani biringanya linalotolewa kila kitu ndani ya ganda kunajazwa carrots, cheese na madude flani yanaitwa baby maro, misosi ilipotua mezani wenzie walimcheka Sana.
 
Kuna siku nilipelekwa restaurant ya wahindi, Nasoma menu sielewi. Halafu nikaona chicken sijui Nini, nikasema ngoja niode hiyo.

Kuja kuku kwa macho anavutia hatari, kumla ile pilipili unaeza pata wazimu. Alinishinda inshort niliambulia kula appetizer zao ambazo zilikuwa tamu kushinda nilichooda.
 
Nilikunywa soda seacliff ilikuwa sijui ni 2006 ilee nikalipa 1000 nusu nitafune chupa wallahi maana mtaani soda ilikuwa inauzwa kama sio 150 basi ilikuwa 250.haki niliumia sana siku ile😅😅😅😅Rafik ya Lizzy ilibakia kidogo alie 😅😅
 
Back
Top Bottom