May be Ali kakinunua kiwanda siunajua jamaa ni KingHii mofaya ni kampuni ya south kwa wale ambao mshaenda south hamtanibishiaaa ilaa alichofanya alikiba ni kuweka jina lake tu coz zinafanana each and everythin sa hapa siwelewi kama ni kaingiaa ubiaa au ni ammbassador wao .......all in all congr kiba
Kumbe haujielew. Kinacho fanyika hapa ni swala la fans base kama unafans wengi unaenda kiwanda chochote unaingia nao mkataba wanatengeneza kinywaj au kitu chochote kwa jina ulalo dhan litakua bora then malipo ni kwa parcent big up to @alikiba.
Kweli tupuHii mofaya ni kampuni ya south kwa wale ambao mshaenda south hamtanibishiaaa ilaa alichofanya alikiba ni kuweka jina lake tu coz zinafanana each and everythin sa hapa siwelewi kama ni kaingiaa ubiaa au ni ammbassador wao .......all in all congr kiba