Kinyozi anahitajika Moshi

Kinyozi anahitajika Moshi

Enno Temba

Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
29
Reaction score
6
Kijana wa kunyoa anahitajika, awe msafi, ajue kunyoa style zote, Awe mkazi wa Moshi. Ofisi zipo KCMC Moshi. Kama una hizo sifa au unamfahamu mtu mwenye hizo sifa tuwasiliane.

0755982500
 
Hela ndogo sana hiyo Umlipe mwenzako kwa mwezi 200K Angakau 500k
Saloon nyingi hawalipwagi wanajilipa wenywe but boss anaweka pesa yake anayoitaka kutokana na location ya office

Atleast 10000 per day
Then barber atalipa
Maji,umeme na office cosmetics zake anazozitumia boss yeye alipa pango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom