Kinyesi cha binadamu kinanunuliwa!

Kinyesi cha binadamu kinanunuliwa!

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,283
Reaction score
98,885
Umofia kwenu wana JF,
Nilikuwa namsikiliza zembwela supermix alikuwa anamuhoji mjasiliamali mmoja ambaye amesema mtu akienda kujiasaidia kwenye choo chake haja kubwa anamlipa buku kwahiyo mtu huyo akijasidia mara nne anaondoka na buku nne,vijana mliopo dsm changamkieni fursa hiyo! Kwa maelezo zaidi pigeni simu east africa radio au mpigie zembwela awapeni namba ya huyo jamaa ili muende kunya kwenye choo chake mlipwe!
 
Kwani mkuu lazima ukajisaidie hapo hapo...au unaweza ukajisaidia nyumbani...ukampelekea na akakupa hela...??
 
Dah! Aiseeee. Hizi fursa balaa sana. Kwa hiyo buku kwa ujazo gani? maana waona fursa wataenda piga hata karanga za mbuzi kisha wasipolipwa watalianzisha.
 
Kujisaidia kwenye choo chake mwenyewe kakitengeneza mwenye kwa kutumia makopo ya chupa za maji ya kunywa!
 
Dah! Aiseeee. Hizi fursa balaa sana. Kwa hiyo buku kwa ujazo gani? maana waona fursa wataenda piga hata karanga za mbuzi kisha wasipolipwa watalianzisha.

Nadhani ujazo huu wa kawaida wa mtu aliyeshiba!
 
Umofia kwenu wana JF,
Nilikuwa namsikiliza zembwela supermix alikuwa anamuhoji mjasiliamali mmoja ambaye amesema mtu akienda kujiasaidia kwenye choo chake haja kubwa anamlipa buku kwahiyo mtu huyo akijasidia mara nne anaondoka na buku nne,vijana mliopo dsm changamkieni fursa hiyo! Kwa maelezo zaidi pigeni simu east africa radio au mpigie zembwela awapeni namba ya huyo jamaa ili muende kunya kwenye choo chake mlipwe!
we jamaa bhana i'm having dinner here......
 
Back
Top Bottom