The message i got ni kwamba alikuwa wanajaribu kujustify kuwa ana elimu appropriate, yaani pia amesomea mambo ambayo wanajimbo wanahamu nayo, (maendeleo ya uchumi) sioni kama ni haki kuanza kuangalia kama baba yake alimrusha mtoto wake darasa au alimuingiza shule fulani kiujanja. This looks like character assasination, hakuna mtu aliye perfect, inawezekana kwa baadhi ni vibaya kuonesha credentials na kwa wengine wanapenda kuona credentials ili kujua kama vilaza wanataka kutuongoza au watu wenye uwezo wa kutuongoza.
Character assassination is an attempt to tarnish a person's reputation. It may involve exaggeration or manipulation of facts to present an untrue picture of the targeted person. It is a form of defamation and can be a form of ad hominem argument.
Thanks mkuu, and this is exactly what is happening, trying to manipulate and twist facts, and demonise the chap
Narejea,
Kuna wengine tumeuliza wasifu wa mgombea tu, pamoja na mambo hususan aliyoyafanya katika medani zake kumfanya awe mgombea aghalabu kwa nafasi hii ukizingatia mustakabali wa taifa letu leo, na kuonyeshwa ni vipi kipya kinyemi hiki kitaweza kubadili mambo, na kuhakikishiwa kwamba hatupewi mvinyo wa zamani katika chupa mpya.
Nasikitika kusema mpaka sasa sijapewa jibu lenye maelezo ya kuridhia utashi wangu barabara.
Ninachoona, katika mengi, ni wadau wanatoa kauli zinazokinzana kama "He is a common Joe, he is a national treasure". I take issue with such blatant peddling.
A national treasure ought to be rare and by definition somebody rare cannot be a common Joe. Gold is a national treasure, gold is rare, sand is commonplace, sand is not a national treasure.
So which is it? A common Joe or a rare treasure ?
I don't normally comment here but I heard this guy campaign this past week and was very impressed. I think he really does understand matatizo ya wananchi. Nilivyoelewa mimi from his campaigns in Kinondoni the guy yeye ameishi Tanzania all his life but was only studying abroad ila hata alivyokua akisoma makao yake yalikua tz hivyo yeye he's been in Tz throughout. Unajua change can come from any party and so can dissapointments so you really need to look at the individual candidate and not dismiss someone just cause anatoka ccm au chadema.

mkuu...mbona unanichanganya?unasema ameishi tanzania all his life....but was only studying abroad...nikuulize je amesoma ONLINE DEGREE??
Mkuu hii ofcourse haiwasaidii lolote watu wa Kinondoni lakini inaexpose hypocrisy behind this candidate na wapambe wake.
Naam this is wht everyone would think, lakini for a guy anayeamua kutembea na vyeti kwenye kampeni as a proof for his qualifications naamini kuna haja basi ya kufahamu the whole background kuhusu hiyo academic achievements. Well this might sound too personal au some sort of character assasination lakini don't we see tht voters have a right to know kuhusu full academic background ya mgombea aliyesoma sana na anatembea na proof of that?
lakini kwa msomi mzuri si anaweza kujieleza vizuri kwa maneno na inapowezekana kwa vitendo na watu waka muelewa kuliko ya kutembea na vyeti. mfano prof Luhanga au Mwandosya hawahitaji kuonyesha vyeti, bali kujieleza kwa kwa mpangilio na pointi zinazo kizi haja ndio zitakazo justify uweledi wao. sasa rafiki yako/ndugu yetu Mpoki nafikiri ni vizuri atumie hiyo strategy kuliko hii ya kitoto. samahani kwa kutumia lugha/maneno ngumu kidogo kama hilo la kitoto, si nia yangu kumfanya kuwa yupo hivyo, lakini ndio taswira anayo tupa.I think he walks with his academic qualifications cause tz tumekua na wakubwa wengi wanadanganya wamesoma na kuforge certificates so he puts them in the open mzione na anayetaka kufuatilia kama kweli kasoma they can. I hope I am not wrong but nilivyoziona ni
Fist degree, LaSalle University, Philladelphia, USA
MBA, Schiller University, London, UK
MA, UCL, London, UK
MPhil, Sussex University, Birmingham, UK
But yeah anyone can them have checks on these to see kama he really did study au kama ni kama wakubwa wetu wengine zikuwa forged bongo
I think he walks with his academic qualifications cause tz tumekua na wakubwa wengi wanadanganya wamesoma na kuforge certificates so he puts them in the open mzione na anayetaka kufuatilia kama kweli kasoma they can. I hope I am not wrong but nilivyoziona ni
Fist degree, LaSalle University, Philladelphia, USA
MBA, Schiller University, London, UK
MA, UCL, London, UK
MPhil, Sussex University, Birmingham, UK
But yeah anyone can then have checks on these to see kama he really did study au kama ni kama wakubwa wetu wengine zilikuwa forged bongo

lakini kwa msomi mzuri si anaweza kujieleza vizuri kwa maneno na inapowezekana kwa vitendo na watu waka muelewa kuliko ya kutembea na vyeti. mfano prof Luhanga au Mwandosya hawahitaji kuonyesha vyeti, bali kujieleza kwa kwa mpangilio na pointi zinazo kizi haja ndio zitakazo justify uweledi wao. sasa rafiki yako/ndugu yetu Mpoki nafikiri ni vizuri atumie hiyo strategy kuliko hii ya kitoto. samahani kwa kutumia lugha/maneno ngumu kidogo kama hilo la kitoto, si nia yangu kumfanya kuwa yupo hivyo, lakini ndio taswira anayo tupa.
Unajua unaweza kuishi sehemu miaka miwili but you are not characterised as a resident there na your country of nationality ndio your residency. This is normally the case with people on student visas UK, US etc ndio maana wanapewa conditions kama you can only work twenty something hours etc. So wengi Tanzania ndio inakua regarded as their residence. So I was talking in terms of technicalities za immigration kuwa he has always been resident in Tanzania and only went to study abroad with Tanzania as his residence na wazazi wake hawakua uk au usa aliposoma so sio kama alimaliza kusoma akabaki tu etc kila anapomaliza one course anarudi kama kurusi kusoma tena anaenda kuchukua visa tena ya kusoma etc. That is what I understood during campaigns so I was rather correcting watu wanaosema kuwa kakaa mwaka mmoja tu tz atajuaje matatizo ya tz. Huyu uluya alikua anasoma tu ikifika likizo karudi bongo nyumbani etc so matatizo ya bongo have been his life throughout.
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
"He is a common Joe, he is a national treasure".
Sussex University ipo Brighton ambapo ni mbali na Birmingham au ulikuwa unataka kumaanisha alisoma Sussex University halafu Birmingham University.I think he walks with his academic qualifications cause tz tumekua na wakubwa wengi wanadanganya wamesoma na kuforge certificates so he puts them in the open mzione na anayetaka kufuatilia kama kweli kasoma they can. I hope I am not wrong but nilivyoziona ni
Fist degree, LaSalle University, Philladelphia, USA
MBA, Schiller University, London, UK
MA, UCL, London, UK
MPhil, Sussex University, Birmingham, UK
But yeah anyone can then have checks on these to see kama he really did study au kama ni kama wakubwa wetu wengine zilikuwa forged bongo
I know him personal and i give him tano for the decision which was to touch the water. I also admire others who where very critical to challenge his credentials.