Mkuu JokaKuu, tatizo kubwa liko kwenye system ya uongozi wa nchi. System ambayo haina controls za kutosha kuhakikisha kuwa kuna uwajibikaji, na nidhamu ya kutosha.Bongolander,
..nadhani kuishi nje peke yake siyo kigezo kikuu cha kumpa mgombea uongozi.
..nadhani tunapaswa kuwa makini zaidi ktk kuchagua viongozi kuliko ku-base kwenye upinzani wa walioishi nje vs walioshi nyumbani.
..mgombea anapaswa kuwa na sifa za ziada juu ya kufanya kazi na kusoma nje ya nchi.
..kuna tatizo kubwa sana hapa Tanzania na limeshindikana kutatuliwa hata kwa kurudisha nchini wataalamu wetu waliofanya kazi nje. tatizo hilo ni utamaduni wa rushwa, wizi, na ubadhirifu. watu kama Dr.Balali walifanya kazi kwa uadilifu mkubwa ktk mashirika ya kimataifa, mara waliporudi Tanzania wamejitumbukiza ktk rushwa na ubadhirifu wa kutisha.
..sasa pamoja na kulaumu kwamba wataalamu wetu wanaorudi toka nje wametuangusha, labda tuangalie ni mazingira gani ya ndani ya Tanzania yanasababisha tunaangushwa[tunaibiwa,tunahujumiwa] na kila mhusika anayepewa madaraka.
..vijana, wanawake, wazee,...kila anayepata uongozi Tanzania ya leo haichukui muda mrefu anatumbukia ktk mambo ya ufisadi. tuna tatizo kubwa sana Tanzania na kwa kweli linahitaji umakini na uzalendo wa hali ya juu kulitatua.
Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading. Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age amweza kuachieve mengi in academic, life and career. Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.
Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.
Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.
Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.
Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.
I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in.
alipokosea kama msomi, ni kujaribu kuvutia watu/wapiga kura kwa kutumia vyeti vyake, hicho ni kiwango cha chini cha kufanyia kampeni, labda hapo kinondoni, maana waliongozwa na mwenye cheti cha computer, na hata Asha Baraka nae anapataka?
a quality of a leader is more than kuwa na vyeti lukuki etc, bali ni kuwa na commitment ya kuwasaidia unao waongoza.
labda kabla ya kuingia kwenye kinyanganyiro hichi angekuwa hata anaandika makala kuhusu mambo yamaendeleo, ingesaidia kuonyesha ni jinsi gani elimu yake itamfaa/imemfaa .
na angekuwa ameaanza kuwaelimisha hao wajisiriamali/wakazi wa kinondoni jinsi gani wanaweza kuboresha maisha yao, kwa mtaji hiyo hiyo midogo walio nayo au kuendeleza makazi yao kama usafi nk nkn
Kwenye post ya 2 tu umeulizwa swali muafaka kabisa, mbona hujibu?
kama yeye ni mtaalam wa maendeleo kwani lazima awe mbunge kutuletea hayo maendeleo? Ushauri wa bure ni heri ajikite huko kijijini kuwapa maendeleo ya kilimo kuliko kuwa mgombeawa Ubunge wa CCM.
Ukisema anatafuta ulaji haya mengine ni blah blah hapo nitakuelewa.....
Umesema vyema kabisa ndugu. Mtu yeyote ana haki kabisa kugombea uongozi ni haki ya kikatiba.Kisichotakiwa ni majigambo au mtu kudhani kwa vile ana advantage kama hizo za kusoma nje ya nchi basi anasimama nafasi nzuri kuliko watoto wa wakulima waliosoma Kigonsera, Msalato, BWIRU N.K. Kinachotakiwa ni uwezo wa kuongoza, karama, umahiri na pia ile hali ya kuwa mkweli na siyo kutaka kudanganya wananchi.
.Wanajamii, nadhani kulaumu wote waliosoma nje ni misleading
Kwa Mtazamo wangu kati ya wagombea wote wa Kinondoni, Mpoki ana exceptional skills. Mpoki is between 32-34, and within that age ameweza kuachieve mengi in academic, life and career.
Tanzania inaitaji watu wenye high thinking capability, and trust me this guy have it. He is one of those people who have exceptional point of view.
Leo hii tunaumizwa na World Bank and IMF sababu hatuna wachumi ambao wanaweza kutazama suggestion za World Bank and IMF kwa jicho la karibu, and trust me this kid spend a lot of time analyze Tanzania economical development prior and after independence.
Kufananisha kila kijana aliyesoma West na Mh. Masha is total wrong. Most of the time life experience shaped individual. I cant talk about Masha life experience sababu simjui, but i can assure you that Mpoki is a fighter of a common man.
And by so doing he qualifies to be Mbunge?????????. In that respect Prof. Wangwe awe rais basi.Mpoki amefanya research nyingi sana kuhusu Agriculture Economic Development in rural Tanzania. Ameweza kushiriki kwa karibu kabisa na wanavijiji mbali mbali kutafuta njia mbadala ya kuongeza zalisho kwenye vilimo vyao.
Amekuwa mstari wa mbele hata hapa JF kuanzisha mijadala mbali mbali kuhusu maendeleo ya Tanzania, vilevile kukemea pale mabaya yanapotendeka. Nadhani kabla hatuja toa conclusion, we need to research more about the guy and how his past experience shape his vision toward the future.
I endorse the guy sababu i believe Tanzania need him. He is a change that we can believe in
Mbona anavyeti vingi sana.Anaelimu ya kuunga nini?
MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
Ukweli ni Kwamba Tanzania system is very centralized, kwamba Bunge lina more impact than any local government. What we need are people who believe that Tanzania need to decentalized more. Vile vile Tanzania bado tunaitaji wataalamu wa kiuchumi kwenye Ngazi ya Kitaifa, watu ambao wataweza kwa karibu kuinfluance national economic policies. Na huyu jamaa has those credentials. Leo hii Tanzania haina wataalamu wa Uchumi wa Madini, sasa wakipatikana tutamwambia waende wakakae Mkoa wa Mara ili wasaidie wachimbaji wadogo wadogo?
Again we need this guy on the national level.Jaribu kuspend more time kumjua zaidi ni nani and trust me you will understand more ninacho kiongea.
Kuhitaji wataalam kwenye nationa level sikati, lakin sio bungeni... Kwa bunge ambalo linaongelea nani kagombana na nani kwenye TV na kuongelea mambo yasiyo ya kimaendeleo, msomi (aka mtaalam) mwenye akili timamu atajua kwamba maendeleo sio lazima akayalete kupitia bungeni. Kama kafanya research za kilimo atuonyeshe wapi zimefanikiwa na ni kivipi mkulima atafaidika na hilo.... Sidhani kama mkulima atakataa ushauri huo kisa huyo msomi sio mbunge.
Huko bungeni tuna wasomi kibao na hawajafanya lolote zaidi ya kuongeza idadi ya watu wa kupiga makofi kumsifia Mh Spika. Kwahiyo yeye atuambie atafanya nini sio kusingizia msomi anayejua maendeleo. Na unaposema nispend time kumjua aidha niambie wapi kuna habari zake au wewe tueleze yale tunayotakiwa kuyajua maana inaonekana mnajuana sana (kama si wewe mwenyewe)
Mbona anavyeti vingi sana.Anaelimu ya kuunga nini?
A-Level (Iliboru), Then B.A , then MBA and Then M.Phil. Sasa hapo vyeti sio vichache.
Akagombee Kyela, ha ha haaaa!