Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
It seems you guys have learnt nothing about tulivyoambiwa kuhusu Masha those dayz na nini kiliendelea na kinachoendelea!!!!!!!!!!
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.
Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.
His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.
Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
Kuna problem ya kasumba katika nchi yetu. Tunadhani kuwa, mtu akisoma nje ya nchi anaweza kuwa na manufaa zaidi kwetu kama kiongozi. Ni upotofu kudhani kuwa waliosoma nje ya nchi wamefundishwa jinsi ya kuongoza nchi zao wakiwa huko.
In fact, watu wengi walio nje ya nchi wanadhani kuwa, wana ufahamu zaidi ya walio ndani ya nchi (wajuaji zaidi) na hivyo wao ndio wanaostahili zaidi kuwa viongozi.
Kuna kasumba nyingine pia kuwa, kama mzazi au mlezi alikuwa kiongozi, basi ni lazima na rahisi kwa mwanae pia kuwa kiongozi mzuri. Nadhani mambo kama haya na mengine ndio yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.
Mwache Mpoki apambane na wengine, athibitishe umahiri wake kiuongozi na aonyeshe uwezo wake wa kutambua na kutatua matatizo ya jamii anayotaka kuiwakilisha. Si vyema kuanza kufanya pre-qualifications za wagombea. Kwani nani amekuambia kuwa wagombea wengine hawana sifa za uongozi kuliko yeye?