Kinondoni kimeeleweka

Hivi na wewe ndg Frey Coseny sijui kosenyi hivi familia yako huwa inajisikiaje unavyopigika kwenye jua na viatu vimepinda lakini hupewi hata ujumbe wa nyumba kumi? Kweli kupanga ni kuchagua aisee!
 
Mwache bora Zimwi likujualo
 
Hivi na wewe ndg Frey Coseny sijui kosenyi hivi familia yako huwa inajisikiaje unavyopigika kwenye jua na viatu vimepinda lakini hupewi hata ujumbe wa nyumba kumi? Kweli kupanga ni kuchagua aisee!
Huyo ni mtekaji
 
Huyu jamaa nakumbuka nilimpigia kura 2015 akiwa upinzani. Kumbe nae aliunga mkono juhudi😳😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…