Kinondoni; CCM Inawadharau nanyi jibuni mapigo

Tupo huku kinondoni. Kampeni nyumba kwa nyumba. CCM hawakujua hii mbinu. Vijana wa Chadema tupo field. CCM hata walete nani hawana chao. Watapiga magoti na kulala kifudifudi ila hawapati kitu.
 
CCM= Chama cha Mashetani. hawana huruma kabisa kwa binaadamu wenzao
 
Chama chenye unyenyekevu na kijishusha kwa wananchi wake ndicho kitakachowaletea maendeleo si vinginevyo!
Hivi huo unyenyekevu mnaoonyesha kipindi cha kuomba kura, mkipata mnawatelekeza wana nchi ndiyo maendeleo, dharau zenu zimezidi kwani waliodumaza nchi si ni nyinyi wenyewe. Ukishindwa kuleta maendeleo ukiwa kijana utawezaje uzeeni, waliomchagua Mtulia akiwa Cuf ndiyo hao hao mnaowaomba kura, kilichosababisha mnapigwa 2015 hicho ndicho kitawakuta tena. Ovyo sana.
 
Mimi nipo hapa Kino na nakuhakikishia kura zote anazizoa Mtulia. Salum Mwalimu hana kitu.
We hata kinondoni utakuwa hupajui, lazma ni wa kijijini wewe, yani unataka kudandia Treni kwa mbele au? Kinondoni wajanja wewe hawawezi kupigia kura upande wawashamba hata siku moja.
 
Haya nenda kapate ulanzi kwa msigwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…