Kinondoni; CCM Inawadharau nanyi jibuni mapigo

Umejenga nyumba yako kwa jasho na damu kisha inabomolewa bila fidia na kukuletea mateso makubwa wewe na familia yako. Then wanakuja wabomoaji na kukuambia mchagueni mtu wetu ili muepuke kubomolewa nyumba zenu.
Jee kumbe wakati ule nyumba zilinomolewa sio kwa kufuata sheria bali kwa vile huyo kibaka Mtulia alipokuwa mbunge hakuwa anatoka kwenye chama chao wabomoaji? Haya ni matusi na kuweka chumvi kwenye kidonda, ni kama vile adha zile mlizopata hakuna anaye jali hata kidogo na leo wanawawekea watoto majukwaani wakatike mauno eti kuwafurahisha na kuwaomba kura. Hakika ccm imewaona nyie ni mazwazwa wakubwana kama mwajitambua ndio nafasi ya kujibu mapigo ili nao wasikie uchungu kama mliokuwa mnasikia wakati wanawatendea bila huruma.
Eti leo wabunge wao na naibu spika wanakuja kusimama na kuwasherehesha kutaka kura (kula) kwenye migongo yenu? Kama ni mkeo au mumeo hajitambui na anachotwa na huu ufala mshitue na kumwambia UMEPOTEA DEAR!
Tupo huku kinondoni. Kampeni nyumba kwa nyumba. CCM hawakujua hii mbinu. Vijana wa Chadema tupo field. CCM hata walete nani hawana chao. Watapiga magoti na kulala kifudifudi ila hawapati kitu.
 
Chama chenye unyenyekevu na kijishusha kwa wananchi wake ndicho kitakachowaletea maendeleo si vinginevyo!
Hivi huo unyenyekevu mnaoonyesha kipindi cha kuomba kura, mkipata mnawatelekeza wana nchi ndiyo maendeleo, dharau zenu zimezidi kwani waliodumaza nchi si ni nyinyi wenyewe. Ukishindwa kuleta maendeleo ukiwa kijana utawezaje uzeeni, waliomchagua Mtulia akiwa Cuf ndiyo hao hao mnaowaomba kura, kilichosababisha mnapigwa 2015 hicho ndicho kitawakuta tena. Ovyo sana.
 
Mimi nipo hapa Kino na nakuhakikishia kura zote anazizoa Mtulia. Salum Mwalimu hana kitu.
We hata kinondoni utakuwa hupajui, lazma ni wa kijijini wewe, yani unataka kudandia Treni kwa mbele au? Kinondoni wajanja wewe hawawezi kupigia kura upande wawashamba hata siku moja.
 
Hivi huo unyenyekevu mnaoonyesha kipindi cha kuomba kura, mkipata mnawatelekeza wana nchi ndiyo maendeleo, dharau zenu zimezidi kwani waliodumaza nchi si ni nyinyi wenyewe. Ukishindwa kuleta maendeleo ukiwa kijana utawezaje uzeeni, waliomchagua Mtulia akiwa Cuf ndiyo hao hao mnaowaomba kura, kilichosababisha mnapigwa 2015 hicho ndicho kitawakuta tena. Ovyo sana.
Haya nenda kapate ulanzi kwa msigwa!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom