Huyu Kigwangala naye hovyo kabisa. Boss hayuko sawa siku zote, hasa kwenye mambo ya siasa. Ndiyo maana nchi za dunia ya kwanza walio ya chini ya rais au waziri mkuu wanajiuzulu wakiwa hawana imani naye.

Kama ameandika hivyo hana jipya ktk maendeleo maana hata kama jambo linaloweza kuleta hasara na yeye hakaliona hatatumia kanuni hiyo ,natamani nyerere hafufuke huyu angeondoka maana yupo kwa ajili ya boss c nchi analinda maslah