Huyu mzee kibogoyo ni mnafiki sana hivi wakati wa issue ya Richmond huyu mzee alikuwa wapi? mbona hakumtetea Lowassa wakati huo ? Kama yeye anjiona ni kada mwanzilishi wa CCM mbona hayo mengine mengi anayafungia macho? Mfano sijasikia hata siku moja akikemea issue za Richmond, EPA, Kgoda na mengine mengi.Yaani ameona issue ni Lowassa tu why??? Nafikiri hapa ana personal iterests kutolewa Ubungo bus terminal nafikiri ndo sababu kubwa namshauri akelee vijukuu vyake. Shame on you mzee Kingunge.