Kingunge Ngombale Mwiru

Mtu asiyekuwa na dini sawa na nguruwe tu.
 

Binafsi namwona Kingunge kama mnafiki wa wanafiki. Mzee huyu alifaulu vyema kumzuga Nyerere kama vile alikuwa mtetezi shupavu wa ujamaa kumbe alikuwa kinyume chake! Mzee huyu hana msimamo na ni kielelezo cha wanafiki wanaowazunguuka viongozi wetu wakijifanya wanasimamia yale yanayosimamiwa na viongozi kumbe ni wasaliti wakubwa. Binafsi mwanasiasa huyu alinivutia sana miaka ya sabini kama mtetezi wa kweli wa ujamaa na wanyonge wa Tanzania. Vijana wengi wasomi wa miaka hiyo tulimwona mmojawapo kati ya vijana shupavu wa Nyerere. Lakini yaliyojitokeza baada ya kifo cha Mwalimu yamedhihirisha wazi unafiki wake! Aliyekuwa mtetezi shupavu wa Ujamaa sasa kageuka kuwa si mtetezi shupavu wa ubepari na unyonyaji tu bali pia fisadi mkubwa! katika jarida moja lililotoka miaka ya mwanzo ya sabini la "Towards Socialism" ambalo ndani yake kulikuwa na wachangiaji kadhaa Mzee huyu aliwasilisha mada iliyotuhamasisha wengi kama mimi. Nitanukuu kipengele kimoja tu muuone unafiki wa Mzee huyu leo hii, akijadili juu ya maslahi ya wabunge alisema " Katiba yetu inasema waziwazi kwamba mbunge atatokana na au mkulima au mfanyakazi, lakini hali ilivyo sasa mtu akishachaguliwa katika nafasi hii (ya ubunge) anakoma kuwa mkulima au mfanyakazi. Maana kipato chake cha mwezi kinakuwa sawa na kipato cha mkulima au mfanyakazi cha zaidi ya mwaka mzima!" Swali ni kwamba bado anasimamia alichokitetea miaka ya 70 hadi kuonekana mtetezi shupavu wa ujamaa au amebadilika? Na swali jingine ni Nyerere aliufahamu unafiki wake huo?
 
Kingunge ngombale mwilu au kwa jina lake la kikatoliki Joseph. Huyu mtu baba yake pale kilwa kipatimu aanaheshimika sana kwa kueneza dini ya kikatoliki. Baba yake mzazi alikuwa anatembea maili 45 na sacrament kichwani huku mvua inanyesha kwenda vigangoni kufanya ibada. Anaweza akaondoka saa mbili asubuhi nyumbani na akarudi saa tatu usiku kwa miguu au wakati mwingine akiwa na baiskeri. alikuwa hajali mvua au jua kali. Alijenga makanisa mengi sana vijijini . Yaani mzee ngombale kwake ukatoliki ulikuwa kama kazaliwa nao.

Sasa wewe hebu fikiria, mzee kama huyo leo asikie mwanae kamkana mungu kwa sababu ya kupenda siasa, kweli atampa baraka? Si atasononeka jamani. Ndio maana ukiangalia career yake katika uongozi ipo na mikosi mikosi tuu. mara nyerere kamtosa! Mara wananchi wanamchukia, mara mwane kaua. Yaani kwa ushauri wa bure, kingunge asione haya kurudia kanisa katoliki lililomlea utotoni kwa heshima ya baba yake.

Kingunge, please, you need to change your thinking before you change your living! Watu bilion sita duniani waseme kuna mungu, yeye aseme hakuna mungu! Is that fair the devil to guide his steps instead of God of Abraham?
 
Mengine tunamsingizia Mungu. Yaani hata kufanya wizi pale ubungo bus terminal ni kwa sababu ya kumuasi baba yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…