King'asti na Sweetlady Wapigwa Ban.

Sasa na wewe mabuku 21 na size ya biblia tungesomaje tuelewe? Hebu nitumie kwanza hela ya twisheni nimuombe Erickb52 anisomeshe chap chap manake naskia ndio loya wa makonda wa vifodi vya mbauda.
 
Last edited by a moderator:
Hizo nyayo zinalambikaje wakati mie kilambio nimemuachia hazbendi? Itakuwa ngumu aisee. Kesho nakuja tumalizie shopping. Ile trunk bado imejaa $$, manake bila msaada wetu haziishi zile aisee!
Hahaha. . .na utamwaga tu. . .ngoja tunguri zangu kwa yule mganga zikae vizuri. . Mpaka waje na magoti na wanilambe nyayo ndo ntafikiria kuwasamehe.
 
Mie hata siku moja siwezi kukuchuna nyama na pombe manake haziwezi kuzidi tshs 50,000. Kuleni nyama, asubuhi ntakutafuta tukanywe supu arusha. Moshi hakuna matumizi kabisa!
Wala.. .sherehe huku imebambaje, wa2 wanakula ndafu mpaka wamebebwa. . .
 
Wifi plz usikasirike. Si unaona tulimchuna tu afu tukamuacha mataa? Yaani kakako naomba asijue. Afu nataka kukuletea kesi ya Erickb52, manake karibu ataniadhiri! Sijui nimsakizie kwa kakako?
Nimekuja kabla ya Sweetlady tuone sasa! Huo ugomvi kati yetu nahisi tu kaka Paw ndio ataweza tutenganisha. Nina hasira ujue!
 
Last edited by a moderator:
Hizo nyayo zinalambikaje wakati mie kilambio nimemuachia hazbendi? Itakuwa ngumu aisee. Kesho nakuja tumalizie shopping. Ile trunk bado imejaa $$, manake bila msaada wetu haziishi zile aisee!

Dola bado zipo, nimekuja na malori kama ya samsung,l. .hamna kuishiwa
 
niko hapa soweto ni jirani sana na hapo kwenye red,
nakuja tena nina handbag imejaa wekundu, kaa mkao wa kula na kunywa hadi kieleweke.

niko hapa soweto ni jirani sana na hapo kwenye red,
nakuja tena nina handbag imejaa wekundu, kaa mkao wa kula na kunywa hadi kieleweke.

Owkeey. . .basi sogea sogea kama unakuja huku kwenye hili Kanisa la Kibaptisti utakuta Range Rover Sport nyeusi tinted iko silence ntakua nakungojea.
 
Owkeey. . .basi sogea sogea kama unakuja huku kwenye hili Kanisa la Kibaptisti utakuta Range Rover Sport nyeusi tinted iko silence ntakua nakungojea.

Mimi mtanikuta hii supermarket ya chang bay, nanunua visebeo vya kula njiani. Arusha nimebook kibo, usijali ile master card yako bado haijafulia.
 
Sasa yasije yakawa na dola moja moja manake hainunui biya.
kwa hiyo party tunairudia leo?

Sasa haya ni ya dola mia mia imagine how much money. . .Im rich here am rich thea I can do whatever.
 
Mimi mtanikuta hii supermarket ya chang bay, nanunua visebeo vya kula njiani. Arusha nimebook kibo, usijali ile master card yako bado haijafulia.

Chukua taxi nenda Nakumatt pale chini ya Crdb changbay hamna kitu.fanya shopping yote nakodi coaster itabeba vitu na itakua kwenye msafara wetu.
 
nilishtuka, yaani maza King'asti afungwe!! bora nichukue nafasi yake kifungoni ili yeye aendelee kuchangia hapa jf
 
Last edited by a moderator:
Namalizia kufanya mazoezi then ntarudi kwaajili ya kuvaana na Don MangiWifi AshaDii usiwe na wasi.....haivunjiki ndoa ya mke mwe King'asti hapa wala yanguAfu King'asti yote haya umeyasababisha wewe! Ilikuwaje ukanitambulisha kwa hili pedeshee la kichaga????.....nataka hongo kabla sijamwaga kuku hapa shemeji Paw akiona lile gari jekundu litabaki historia..... Catherine mekumiss kimtindo ila kuna isue imenibamba mwenzio.....usijali vile leo ni week end tutakutana pale pa siku zote.....Mwaaaa to you!
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmh, karibu na Kanisa,
then range rover sport nyeusi
mmmh, ngashtuka kapisa meeku ote kyako.

Owkeey. . .basi sogea sogea kama unakuja huku kwenye hili Kanisa la Kibaptisti utakuta Range Rover Sport nyeusi tinted iko silence ntakua nakungojea.
 
"Like"

Hahaha. . .kunivaa utaweza? Nina henchmen wanne. . .one in every angle na mi mwenyewe six pax.
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmh, karibu na Kanisa,
then range rover sport nyeusi
mmmh, ngashtuka kapisa meeku ote kyako.

Yee mae. . .ngiore leri tsifoi.. .chandu king'asti na sweetlady wangilemba ngiichuo nyashi mao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…