M Mangii Member Joined May 3, 2012 Posts 52 Reaction score 3 Jan 28, 2014 #1 habari wana jamii samahani naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa king'amizi gani ni kizuri kati ya ZUKU na DSTV nahitaji ninunue au kama kuna vingine ambavyo vi vizuri plz naombeni msaada wenu
habari wana jamii samahani naomba kuuliza kwa anayefahamu kuwa king'amizi gani ni kizuri kati ya ZUKU na DSTV nahitaji ninunue au kama kuna vingine ambavyo vi vizuri plz naombeni msaada wenu
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 10,730 Reaction score 9,907 Jan 28, 2014 #2 Nunua DSTv ndi mpango mzima. Halafu baada ya mwezi utakuja kutupa matokeo
M Mangii Member Joined May 3, 2012 Posts 52 Reaction score 3 Jan 28, 2014 Thread starter #3 Asante mkuu kwa ushauri nitafanya hivyo thanks
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Jan 28, 2014 #4 Zanzibar Spices said: Nunua DSTv ndi mpango mzima. Halafu baada ya mwezi utakuja kutupa matokeo Click to expand... Hivi siku hizi unaweza kurekodi kipindi?
Zanzibar Spices said: Nunua DSTv ndi mpango mzima. Halafu baada ya mwezi utakuja kutupa matokeo Click to expand... Hivi siku hizi unaweza kurekodi kipindi?