Kama kuna mtu anatumia TING HD anijuze kama option ya kurekodi katika flash inafanya kazi.maana kingamuzi cha AZAM haifanyi kazi.ukirekodi mpaka uicheze humo humo vinginevyo hakuna.
nataka kingamuzi cha kurekodi mambo mbalimbali na kuyatumia nje ya dekoda hiyo. iwe inarekodi file zilizo katika popular format MP4,MPEG 4,AVI,VOB ,MOV nk