King'amuzi cha startimes kinauzwa

King'amuzi cha startimes kinauzwa

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
687
Reaction score
504
Yeyote mwenye uhitaji wa King'amuzi cha Startimes kipo nakiuza, bei ni 55,000/= tu!! kipo fresh tu yaani ni kipya. Nipo Mwanza
 
Salih, hawa jamaa ni majanga, sijui kwa huko Mwanza lakini... picha zake ni mnato..... lol

Huku Mwanza viko poa hasa hapa Mjini,sijui kwa wengine lkn
 
Nimebakiwa na king'amuzi kimoja, kingine kishachukuliwa na member mmoja hapa Jf, so hiki kilichobaiki mwenye 55,000/= ani-pm faster nimtumie kama nilivyofanya kwa huyu wa mwanzo
 
Nimebakiwa na king'amuzi kimoja, kingine kishachukuliwa na member mmoja hapa Jf, so hiki kilichobaiki mwenye 55,000/= ani-pm faster nimtumie kama nilivyofanya kwa huyu wa mwanzo

NimekuPM
 
kwani hivi bado vipo jamani...afu ndio vimepanda hivyo?
 
Cha kwangu nilikiweka stoo tokea 2010 nimesikia sikuhizi wameweka NBA TV nimekiwasha hakidisplay on TV but chenyewe kwenye digit kinasomeka 888888 nimeuliza wanadai ni kizima ila kinatakiwa kiflashiwe... balaa hili gharama ni elfu 20 sijui nitoe au nipotezee na Basket natamani niitizame Cable sikuhizi espn hamna
 
Hivyo vya long time vitawasumbua mno, mi vyangu ni tolea jipya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom