jmaroa Senior Member Joined Jul 29, 2014 Posts 111 Reaction score 23 Aug 13, 2014 #1 Jamani wana jamvi nina kingamzi cha kuuza cha kampuni ya azamtv yeyote ambaye yuko willing kukinunua naomba tuwadiliane bei ni maelewano namba yangu ni 0755520228.
Jamani wana jamvi nina kingamzi cha kuuza cha kampuni ya azamtv yeyote ambaye yuko willing kukinunua naomba tuwadiliane bei ni maelewano namba yangu ni 0755520228.
njeeseka JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,374 Reaction score 985 Aug 13, 2014 #2 weka bei.....
BABU KIDUDE JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,587 Reaction score 918 Aug 13, 2014 #3 weka bei kwanza mdau
Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Aug 13, 2014 #4 Duuuh!! kingamzi... Haya tupe bei
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Aug 14, 2014 #5 Mbona ving'amuzi vyake watu wanaviuza sana azam kuna nini? au ndo yaleyale ya startimes???