hawa jamaa inaelekea ni wababaishaji au wantujua udhaifu wetu.
Fikiria tangia juzi wanatangaza kuwa ETV imepotea na wanafanya kila linalowezekana kuirudisha.
Sasa najiuliza kurudisha channel inaweza kuchukua zaidi ya su nne??
Si ni bora watueleze tu kuwa imewashinda kama ilivyoshindikana kwa UTV, KBC, ITV, STAR TV nk??