Kingamuzi cha Bakhresaa...!!

Wadau leteni khabari hii issue bado haijaingia sokoni?
 

shukrani kwa taarifa kwanza nimefurahi kuwa watatumia mfumo wa dvb s badala ya dvb t hii itawezesha watz vijijini kupata huduma hii,nilikuwa na mipango yakuchukua zuku lakini sasa naacha nisubiri hii azam, na ukizingatia zuku imepandisha malipo ya mwezi kwa asimia 20. Kama kutakua na cnn,aljazeera,bbc, na sky news basi kiu yangu itakwisha kabisaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…