Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,047
- 3,784
Hata mi nahitaji pia kama kuna mtu anacho andika hapa mawasiliano yako tufanye biashara chapWadau,
Nahitaji mtu mwenye king'amuzi cha Azam bila dish kama unacho,kisiwe na tatizo (fault ) ya aina yoyote kiwe kimesajiliwa kiko hewani na Remote yake.
Karibu tufanye biashara.
Jibia hapa hapa nitakutafuta.
Nb:Najua nahitaji cha nini hivyo sihitaji darsa na story nyingi..kama unacho karibia HAPA.
shukrani.
kipo kwa elfu 80,000/=Wadau,

Kuna jamaa anaviuza kwa TSH 60,000/=
Vipya kabisa
Mkuu uko wapi tuyajengekipo kwa elfu 80,000/=
Na mm nahitaji
IPO kwangu mkuu!Nataka decoder ya zuku
Ninacho ila kipo complete na dish lake.0714132737.Hata mi nahitaji pia kama kuna mtu anacho andika hapa mawasiliano yako tufanye biashara chap
Ninacho ila nauza complete na dish lake.0714132737.Wadau,
Nahitaji mtu mwenye king'amuzi cha Azam bila dish kama unacho,kisiwe na tatizo (fault ) ya aina yoyote kiwe kimesajiliwa kiko hewani na Remote yake.
Karibu tufanye biashara.
Jibia hapa hapa nitakutafuta.
Nb:Najua nahitaji cha nini hivyo sihitaji darsa na story nyingi..kama unacho karibia HAPA.
shukrani.
nipo kibadaMkuu uko wapi tuyajenge
Wauzaje?Ninacho ila nauza complete na dish lake.0714132737.
IPO kwangu mkuu!
vipoKuna jamaa anaviuza kwa TSH 60,000/=
Vipya kabisa