Kinga'amuzi chA DSTV kinauzwa

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,466
Reaction score
1,558
Habari wakuu,naonzq king'amuzi cha DSTV kimenishinda gharama,nilikinunua Disemba 28 mwaka jana.Nipm kwa mawasiliano zaidi.Niko Bunju
 
Mkuu vumilia!
Bado miezi mi3 tu ligi zote zitaisha na utalipia kifurushi cha bomba 23500
Ni cha Tangazo la Diamond...kinataka kunifilisi mkuu...nilihadaiwa na kiofa cha krismas mkuu...Nimerudi Azam km kawaida tu
k
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…