Kinga ya Homa ya Dengu

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,476
Reaction score
2,087
Eti,
Kinga madhubuti na ya uhakika kwaajili ya kuzuia amaambukizi ya Homa hatari inayouwa iliyoripuka hivi karibuni jijini Dar
maarufu kwa jina la Dengue ni;
Kufululiza Supu ya Kongoro za Kitimoto kwa muda wa wiki moja tu.
Unywe Supu Mfululizo na Homa hiyo utaisikilizia kwenye bomba.

JAMANI HUKU SI NDIO KUTAKA KUTUSILIMISHA WENGINE BILA KUPENDA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…