Truth will Remain JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 254 Reaction score 126 Sep 12, 2017 #1 kutokana na kuongezeka na kundi la watu wasiofahamika ambao wamekuwa wakitenda ama kutekeleza aina mbalimbali za kiuhalifu, tunaliomba jeshi la polisi litupe mbinu mbadala ya jinsi gani tunaweza kukabiliana na watu hao. KINGA NI BORA KULIKO TIBA
kutokana na kuongezeka na kundi la watu wasiofahamika ambao wamekuwa wakitenda ama kutekeleza aina mbalimbali za kiuhalifu, tunaliomba jeshi la polisi litupe mbinu mbadala ya jinsi gani tunaweza kukabiliana na watu hao. KINGA NI BORA KULIKO TIBA