Kinga dhidi ya wizi wa side mirrors

Sasa mbona ka kufuli kenyewe kadogo?? halafu nahisi kana tekenyeka...
 
niwepa faida mara 2 kwa nini hapo wanachukua side mirror na kibubu unatuwa umewatengenezea
 
Hiyo mbona rahisi, wanachukuwa na huyo mlinzi wako
 
Duh nimecheka kweli Tanzania yetu kwa ubunifu hakuna wakutufikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…